Zekaria 10:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Nao watakuwa kama mashujaa, wakanyagao adui zao katika matope ya njia vitani; nao watapiga vita, kwa sababu BWANA yu pamoja nao; na hao wapandao farasi watafadhaishwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Watu wa Yuda watakuwa kama mashujaa vitani watawakanyaga maadui zao katika tope njiani. Watapigana kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu nipo pamoja nao; nao watawaaibisha hata wapandafarasi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Watu wa Yuda watakuwa kama mashujaa vitani watawakanyaga maadui zao katika tope njiani. Watapigana kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu nipo pamoja nao; nao watawaaibisha hata wapandafarasi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Watu wa Yuda watakuwa kama mashujaa vitani watawakanyaga maadui zao katika tope njiani. Watapigana kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu nipo pamoja nao; nao watawaaibisha hata wapandafarasi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Kwa pamoja watakuwa kama mashujaa wanaokanyaga barabara za matope wakati wa vita. Kwa sababu Mwenyezi Mungu yu pamoja nao, watapigana na kuwashinda wapanda farasi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Kwa pamoja watakuwa kama mashujaa wanaokanyaga barabara za matope wakati wa vita. Kwa sababu bwana yu pamoja nao, watapigana na kuwashinda wapanda farasi. Tazama sura |