Zekaria 10:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Mwombeni BWANA mvua wakati wa masika, naam, BWANA aletaye mawingu ya mvua, naye atawapa manyunyu ya mvua, kila mtu atapewa nyasi shambani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Mwombeni Mwenyezi-Mungu awape mvua za masika. Mwenyezi-Mungu ndiye aletaye mawingu ya mvua; ndiye awapaye watu mvua za rasharasha, na kustawisha mimea shambani kwa ajili ya wote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Mwombeni Mwenyezi-Mungu awape mvua za masika. Mwenyezi-Mungu ndiye aletaye mawingu ya mvua; ndiye awapaye watu mvua za rasharasha, na kustawisha mimea shambani kwa ajili ya wote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Mwombeni Mwenyezi-Mungu awape mvua za masika. Mwenyezi-Mungu ndiye aletaye mawingu ya mvua; ndiye awapaye watu mvua za rasharasha, na kustawisha mimea shambani kwa ajili ya wote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Mwombeni Mwenyezi Mungu mvua wakati wa vuli; ndiye Mwenyezi Mungu atengenezaye mawingu ya tufani. Huwapa watu manyunyu ya mvua, pia mimea ya shambani kwa ajili ya kila mtu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Mwombeni bwana mvua wakati wa vuli; ndiye bwana atengenezaye mawingu ya tufani. Huwapa watu manyunyu ya mvua, pia mimea ya shambani kwa ajili ya kila mtu. Tazama sura |