Zekaria 1:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Naye BWANA akamjibu yule malaika aliyesema nami kwa maneno mazuri, maneno yenye faraja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Mwenyezi-Mungu akampa huyo malaika jibu jema na lenye matumaini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Mwenyezi-Mungu akampa huyo malaika jibu jema na lenye matumaini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Mwenyezi-Mungu akampa huyo malaika jibu jema na lenye matumaini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Kwa hiyo Mwenyezi Mungu akazungumza maneno ya upole na ya kufariji kwa malaika aliyezungumza nami. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Kwa hiyo bwana akazungumza maneno ya upole na ya kufariji kwa malaika aliyezungumza nami. Tazama sura |