Zekaria 1:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Na yule mtu aliyesimama kati ya mihadasi akajibu, akasema, Hawa ndio BWANA aliowatuma, waende huku na huko duniani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Hawa ndio waliotumwa na Mwenyezi-Mungu kuikagua dunia.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Hawa ndio waliotumwa na Mwenyezi-Mungu kuikagua dunia.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Hawa ndio waliotumwa na Mwenyezi-Mungu kuikagua dunia.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Kisha yule mtu aliyesimama katikati ya miti ya mihadasi akaeleza, “Ni wale ambao Mwenyezi Mungu amewatuma waende duniani kote.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Kisha yule mtu aliyesimama katikati ya miti ya mihadasi akaeleza, “Ni wale ambao bwana amewatuma waende duniani kote.” Tazama sura |