Zaburi 96:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Mwimbieni BWANA, lisifuni jina lake, Tangazeni wokovu wake kila siku. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Mwimbieni Mwenyezi-Mungu na kulisifu jina lake. Tangazeni kila siku matendo yake ya wokovu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Mwimbieni Mwenyezi-Mungu na kulisifu jina lake. Tangazeni kila siku matendo yake ya wokovu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Mwimbieni Mwenyezi-Mungu na kulisifu jina lake. Tangazeni kila siku matendo yake ya wokovu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Mwimbieni Mwenyezi Mungu, lisifuni jina lake; tangazeni wokovu wake siku baada ya siku. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Mwimbieni bwana, lisifuni jina lake; tangazeni wokovu wake siku baada ya siku. Tazama sura |