Zaburi 95:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Msifanye mioyo yenu kuwa migumu; Kama ilivyokuwa huko Meriba Kama siku ile katika Masa jangwani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 “Msiwe wakaidi kama kule Meriba, kama walivyokuwa kule Masa jangwani, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 “Msiwe wakaidi kama kule Meriba, kama walivyokuwa kule Masa jangwani, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 “Msiwe wakaidi kama kule Meriba, kama walivyokuwa kule Masa jangwani, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 msiifanye mioyo yenu migumu kama mlivyofanya kule Meriba, kama mlivyofanya siku ile kule Masa jangwani, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 msiifanye mioyo yenu migumu kama mlivyofanya kule Meriba, kama mlivyofanya siku ile kule Masa jangwani, Tazama sura |