Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 94:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

3 BWANA, hadi lini wasio haki, Hadi lini wasio haki watashangilia?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Waovu wataona fahari hata lini? Watajisifia mpaka lini, ee Mwenyezi-Mungu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Waovu wataona fahari hata lini? Watajisifia mpaka lini, ee Mwenyezi-Mungu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Waovu wataona fahari hata lini? Watajisifia mpaka lini, ee Mwenyezi-Mungu?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Ee Mwenyezi Mungu, hadi lini waovu, hadi lini waovu watashangilia?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Hata lini, waovu, Ee bwana, hata lini waovu watashangilia?

Tazama sura Nakili




Zaburi 94:3
16 Marejeleo ya Msalaba  

Basi wakamtundika Hamani juu ya mti aliomwekea tayari Mordekai. Ghadhabu ya mfalme ikatulia.


Esta akasema, Ni mtesi, tena ni adui, ndiye huyu Hamani, mtu mbaya kabisa. Mara Hamani akaingiwa na hofu mbele ya mfalme na malkia.


Ya kuwa shangwe ya waovu ni kwa muda kidogo, Na furaha ya wapotovu ni ya dakika moja tu?


Kwa kuwa Wewe ndiwe Mungu uliye nguvu zangu; kwa nini umenitupa? Kwa nini ninakwenda nikihuzunika, adui wakinionea?


Hudhihaki, husimulia mabaya, Husimulia udhalimu kana kwamba wako juu.


Ee BWANA, hadi lini? Utaona hasira milele? Wivu wako utawaka kama moto?


Ee BWANA, Mungu wa majeshi, hadi lini Utayaghadhibikia maombi ya watu wako?


Hadi lini, Ee BWANA? Utajificha hata milele? Ghadhabu yako itawaka kama moto hadi lini?


Ee upanga wa BWANA, Siku ngapi zitapita kabla hujatulia? Ujitie katika ala yako; Pumzika, utulie.


Ee BWANA, nilie hadi lini, wewe usitake kusikia? Nakulilia kwa sababu ya udhalimu, ila hutaki kuokoa.


Wakalia kwa sauti kuu, wakisema, Ee Mola, Mtakatifu, na Mkweli, utakawia hadi lini kuhukumu na kuilipa damu yetu kwa hao wakaao juu ya nchi?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo