Zaburi 92:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Hata wasio haki wakichipuka kama majani Na wote watendao maovu wakastawi. Mwishowe wataangamizwa milele; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Kwamba waovu waweza kustawi kama nyasi, watenda maovu wote waweza kufanikiwa, lakini mwisho wao ni kuangamia milele, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Kwamba waovu waweza kustawi kama nyasi, watenda maovu wote waweza kufanikiwa, lakini mwisho wao ni kuangamia milele, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 kwamba waovu waweza kustawi kama nyasi, watenda maovu wote waweza kufanikiwa, lakini mwisho wao ni kuangamia milele, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 ingawa waovu huchipua kama majani na wote watendao maovu wanastawi, wataangamizwa milele. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 ingawa waovu huchipua kama majani na wote watendao mabaya wanastawi, wataangamizwa milele. Tazama sura |