Zaburi 91:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Aketiye mahali pa siri pake Aliye Juu Atakaa katika uvuli wake Mwenyezi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Anayekaa chini ya ulinzi wa Mungu Mkuu, anayeishi chini ya kivuli cha Mungu Mwenye Nguvu, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Anayekaa chini ya ulinzi wa Mungu Mkuu, anayeishi chini ya kivuli cha Mungu Mwenye Nguvu, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Anayekaa chini ya ulinzi wa Mungu Mkuu, anayeishi chini ya kivuli cha Mungu Mwenye Nguvu, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Yeye akaaye mahali pa salama pake Yeye Aliye Juu Sana, atadumu katika uvuli wake Mwenyezi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Yeye akaaye mahali pa salama pake Yeye Aliye Juu Sana, atadumu katika uvuli wake Mwenyezi. Tazama sura |