Zaburi 90:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Wamrudisha mtu mavumbini, usemapo, Rudini, enyi wanadamu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Wamwambia binadamu, “Rudi mavumbini!” Naye binadamu hurudi mavumbini alimotoka! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Wamwambia binadamu, “Rudi mavumbini!” Naye binadamu hurudi mavumbini alimotoka! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Wamwambia binadamu, “Rudi mavumbini!” Naye binadamu hurudi mavumbini alimotoka! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Huwarudisha watu mavumbini, ukisema, “Rudini mavumbini, enyi wanadamu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Huwarudisha watu mavumbini, ukisema, “Rudini mavumbini, enyi wanadamu.” Tazama sura |