Zaburi 90:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Wewe, Bwana, umekuwa makao yetu, Kizazi baada ya kizazi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Ee Bwana, tangu vizazi vyote, wewe umekuwa usalama wetu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Ee Bwana, tangu vizazi vyote, wewe umekuwa usalama wetu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Ee Bwana, tangu vizazi vyote, wewe umekuwa usalama wetu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Bwana, wewe umekuwa makao yetu katika vizazi vyote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 bwana, wewe umekuwa makao yetu katika vizazi vyote. Tazama sura |