Zaburi 9:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Maana mlipiza kisasi cha damu awakumbuka, Hakukisahau kilio cha wanyonge. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Mungu hulipiza kisasi kwa umwagaji damu; kamwe hasahau kilio cha wanaoonewa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Mungu hulipiza kisasi kwa umwagaji damu; kamwe hasahau kilio cha wanaoonewa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Mungu hulipiza kisasi kwa umwagaji damu; kamwe hasahau kilio cha wanaoonewa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Kwa maana yeye anayelipiza kisasi cha damu hukumbuka, hapuuzi kilio cha wanaoonewa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Kwa maana yeye alipizaye kisasi cha damu hukumbuka, hapuuzi kilio cha wanaoonewa. Tazama sura |