Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 9:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

11 Mwimbieni BWANA akaaye Sayuni, Yatangazeni kwa watu matendo yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Mwimbieni sifa Mwenyezi-Mungu akaaye Siyoni. Yatangazieni mataifa mambo aliyotenda!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Mwimbieni sifa Mwenyezi-Mungu akaaye Siyoni. Yatangazieni mataifa mambo aliyotenda!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Mwimbieni sifa Mwenyezi-Mungu akaaye Siyoni. Yatangazieni mataifa mambo aliyotenda!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Mwimbieni Mwenyezi Mungu sifa, amefanywa mtawala Sayuni, tangazeni miongoni mwa mataifa, yale aliyoyatenda.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Mwimbieni bwana sifa, amefanywa mtawala Sayuni, tangazeni miongoni mwa mataifa, yale aliyoyatenda.

Tazama sura Nakili




Zaburi 9:11
20 Marejeleo ya Msalaba  

Na wamtolee dhabihu za kushukuru, Na kuyasimulia matendo yake kwa kuimba.


Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya BWANA.


Imbeni utukufu wa jina lake, Tukuzeni sifa zake.


Njoni myaone matendo ya Mungu; Hutisha kwa mambo awatendayo wanadamu;


Kibanda chake pia kiko Salemu, Na maskani yake iko Sayuni.


Bali aliichagua kabila la Yuda, Mlima Sayuni alioupenda.


Kwa kuwa amekaza kunipenda Nitamwokoa; na kumweka palipo juu, Kwa kuwa amenijua Jina langu.


Semeni katika mataifa, BWANA ametamalaki; Naam, ulimwengu umethibitika usitikisike, Atawahukumu watu kwa adili.


Wajumbe wa taifa hilo waletewe jibu gani? Ya kuwa BWANA ameiweka misingi ya Sayuni, na ndani yake wale walioonewa katika watu wake watapata kimbilio kwake.


Nami niliwajulisha jina lako, tena nitawajulisha hilo; ili pendo lile ulilonipenda mimi liwe ndani yao, nami niwe ndani yao.


Bali ninyi mmeufikia mlima Sayuni, na mji wa Mungu aliye hai, Yerusalemu wa mbinguni, na majeshi ya malaika elfu nyingi,


Kisha nikaona, na tazama, huyo Mwana-kondoo amesimama juu ya mlima Sayuni, na watu elfu mia moja na arubaini na nne pamoja naye, wenye jina lake na jina la Baba yake limeandikwa katika vipaji vya nyuso zao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo