Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 89:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

6 Maana ni nani katika mbingu awezaye kulinganishwa na BWANA? Ni nani afananaye na BWANA miongoni mwa malaika?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Nani mbinguni awezaye kulinganishwa nawe ee Mwenyezi-Mungu? Nani aliye sawa nawe kati ya viumbe vya mbinguni?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Nani mbinguni awezaye kulinganishwa nawe ee Mwenyezi-Mungu? Nani aliye sawa nawe kati ya viumbe vya mbinguni?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Nani mbinguni awezaye kulinganishwa nawe ee Mwenyezi-Mungu? Nani aliye sawa nawe kati ya viumbe vya mbinguni?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Kwa kuwa ni nani katika mbingu anayeweza kulinganishwa na Mwenyezi Mungu? Ni nani miongoni mwa viumbe vya mbinguni aliye kama Mwenyezi Mungu?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Kwa kuwa ni nani katika mbingu anayeweza kulinganishwa na bwana? Ni nani miongoni mwa viumbe vya mbinguni aliye kama bwana?

Tazama sura Nakili




Zaburi 89:6
10 Marejeleo ya Msalaba  

Ni nani aliye mfano wa BWANA, Mungu wetu aketiye juu;


Mpeni BWANA, enyi wana wa Mungu, Mpeni BWANA utukufu na nguvu;


Ee BWANA, Mungu wangu, umefanya kwa wingi Miujiza yako na mawazo yako kwetu; Hakuna awezaye kufananishwa nawe; Kama ningependa kuyatangaza na kuyahubiri, Ni mengi sana hayahesabiki.


Kwa nini kujisifia uovu, Ewe jabari? Wema wa Mungu upo sikuzote.


Na haki yako, Ee Mungu, Imefika juu sana. Wewe uliyefanya mambo makuu; Ee Mungu, ni nani aliye kama Wewe?


Ni nani niliye naye mbinguni, Wala duniani sina cha kupendeza ila Wewe.


Katikati ya miungu hakuna kama Wewe, Bwana, Wala matendo mfano wa matendo yako.


BWANA, Mungu wa majeshi, Ni nani aliye hodari kama Wewe, Ee YAHU? Na uaminifu wako unakuzunguka.


Ee BWANA, katika miungu ni nani aliye kama wewe? Ni nani aliye kama wewe, mtukufu katika utakatifu, Mwenye kuogopwa katika sifa zako, mfanya maajabu?


Hapana hata mmoja aliye kama wewe, Ee BWANA; wewe ndiwe uliye mkuu, na jina lako ni kuu katika uweza.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo