Zaburi 89:43 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC43 Pia umeurudisha nyuma ukali wa upanga wake; Wala hukumsimamisha vitani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema43 Silaha zake umezifanya butu; ukamwacha ashindwe vitani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND43 Silaha zake umezifanya butu; ukamwacha ashindwe vitani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza43 Silaha zake umezifanya butu; ukamwacha ashindwe vitani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu43 Umegeuza makali ya upanga wake, na hukumpa msaada katika vita. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu43 Umegeuza makali ya upanga wake, na hukumpa msaada katika vita. Tazama sura |