Zaburi 89:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Wazao wako nitawaimarisha milele, Nitakijenga kiti chako cha enzi hata milele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 ‘Daima nitamweka mzawa wako kuwa mfalme, tena nitaudumisha ufalme wako milele.’” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 ‘Daima nitamweka mzawa wako kuwa mfalme, tena nitaudumisha ufalme wako milele.’” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 ‘Daima nitamweka mzawa wako kuwa mfalme, tena nitaudumisha ufalme wako milele.’” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 ‘Nitaimarisha uzao wako milele na kudumisha ufalme wako kwa vizazi vyote.’ ” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 ‘Nitaimarisha uzao wako milele na kudumisha ufalme wako kwa vizazi vyote.’ ” Tazama sura |