Zaburi 89:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC34 Mimi sitalivunja agano langu, Sitalibadili neno lililotoka midomoni mwangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Sitavunja agano langu naye, wala kubatili neno nililotamka kwa mdomo wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Sitavunja agano langu naye, wala kubatili neno nililotamka kwa mdomo wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Sitavunja agano langu naye, wala kubatili neno nililotamka kwa mdomo wangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Mimi sitavunja agano langu wala sitabadili lile ambalo midomo yangu imelitamka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Mimi sitavunja agano langu wala sitabadili lile ambalo midomo yangu imelitamka. Tazama sura |