Zaburi 89:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Nitaweka mkono wake juu ya bahari, Na mkono wake wa kulia juu ya mito. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Nitaimarisha nguvu na utawala wake, toka bahari hata mito. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Nitaimarisha nguvu na utawala wake, toka bahari hata mito. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Nitaimarisha nguvu na utawala wake, toka bahari hata mito. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Nitauweka mkono wake juu ya bahari, mkono wake wa kuume juu ya mito. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Nitauweka mkono wake juu ya bahari, mkono wake wa kuume juu ya mito. Tazama sura |