Zaburi 89:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Uaminifu wangu na fadhili zangu atakuwa nazo, Na kwa jina langu pembe yake itatukuka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Nitakuwa mwaminifu kwake na kumfadhili, kwa jina langu atapata ushindi mkubwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Nitakuwa mwaminifu kwake na kumfadhili, kwa jina langu atapata ushindi mkubwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Nitakuwa mwaminifu kwake na kumfadhili, kwa jina langu atapata ushindi mkubwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Upendo wangu mkamilifu utakuwa pamoja naye, kwa Jina langu pembe yake itatukuzwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Upendo wangu mkamilifu utakuwa pamoja naye, kwa Jina langu pembe yake itatukuzwa. Tazama sura |