Zaburi 89:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Adui hatamwonea, Wala mwana wa uovu hatamtesa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Maadui hawataweza kumshinda, wala waovu hawatamnyanyasa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Maadui hawataweza kumshinda, wala waovu hawatamnyanyasa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Maadui hawataweza kumshinda, wala waovu hawatamnyanyasa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Hakuna adui atakayemtoza ushuru, hakuna mtu mwovu atakayemtesa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Hakuna adui atakayemtoza ushuru, hakuna mtu mwovu atakayemwonea. Tazama sura |