Zaburi 88:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Maombi yangu yafike mbele zako, Ukitegee kilio changu sikio lako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Sala yangu ikufikie, usikilize kilio changu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Sala yangu ikufikie, usikilize kilio changu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Sala yangu ikufikie, usikilize kilio changu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Maombi yangu yafike mbele zako, utegee kilio changu sikio lako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Maombi yangu yafike mbele zako, utegee kilio changu sikio lako. Tazama sura |