Zaburi 88:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Mpenzi na rafiki umewatenga nami, Nao wanijuao wamo gizani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Umewafanya rafiki na wenzangu wote waniepe; giza ndilo limekuwa mwenzangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Umewafanya rafiki na wenzangu wote waniepe; giza ndilo limekuwa mwenzangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Umewafanya rafiki na wenzangu wote waniepe; giza ndilo limekuwa mwenzangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Umeniondolea rafiki na wapendwa wangu; giza limekuwa rafiki yangu wa karibu kuliko wote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Umeniondolea marafiki na wapendwa wangu; giza limekuwa ndilo rafiki yangu wa karibu kuliko wote. Tazama sura |