Zaburi 88:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Yamenizunguka kama mafuriko mchana kutwa, Yamenisonga kwa kila upande. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Yananizunguka kama mafuriko mchana kutwa; yananizingira yote kwa pamoja. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Yananizunguka kama mafuriko mchana kutwa; yananizingira yote kwa pamoja. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Yananizunguka kama mafuriko mchana kutwa; yananizingira yote kwa pamoja. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Mchana kutwa zinanizunguka kama mafuriko; zimenimeza kabisa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Mchana kutwa zinanizunguka kama mafuriko; zimenimeza kabisa. Tazama sura |