Zaburi 88:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Fadhili zako zitasimuliwa kaburini? Au uaminifu wako katika uharibifu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Je, fadhili zako zinatajwa kaburini, au uaminifu wako kwenye makao ya maangamizi? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Je, fadhili zako zinatajwa kaburini, au uaminifu wako kwenye makao ya maangamizi? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Je, fadhili zako zinatajwa kaburini, au uaminifu wako kwenye makao ya maangamizi? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Je, upendo wako hutangazwa kaburini, uaminifu wako katika Uharibifu? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Je, upendo wako hutangazwa kaburini, uaminifu wako katika Uharibifu? Tazama sura |