Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 88:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

10 Je! Wafu utawafanyia miujiza? Au waliofariki watasimama na kukuhimidi?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Je, wewe huwatendea wafu maajabu yako? Je, mizimu hufufuka na kukusifu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Je, wewe huwatendea wafu maajabu yako? Je, mizimu hufufuka na kukusifu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Je, wewe huwatendea wafu maajabu yako? Je, mizimu hufufuka na kukusifu?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Je, wewe huwaonesha wafu maajabu yako? Je, wale waliokufa huinuka na kukusifu?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Je, wewe huwaonyesha wafu maajabu yako? Je, wale waliokufa huinuka na kukusifu?

Tazama sura Nakili




Zaburi 88:10
13 Marejeleo ya Msalaba  

Wafu hawamsifu Mungu BWANA, Wala yeyote ashukaye kwenye kimya;


Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya BWANA.


Nakunyoshea mikono yangu; Nafsi yangu inakuonea kiu kama nchi kame.


Mna faida gani katika damu yangu Nishukapo Shimoni? Mavumbi yatakusifu? Yatautangaza uaminifu wako?


Maana mautini hapana kumbukumbu lako; Katika kuzimu ni nani atakayekushukuru?


Wewe, Bwana, unifadhili, Maana nakulilia Wewe mchana kutwa.


Wafu wako wataishi, maiti zangu zitafufuka; amkeni, kaimbeni, ninyi mnaokaa mavumbini, kwa maana umande wako ni kama umande wa mimea, nayo ardhi itawatoa waliokufa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo