Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 86:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

6 Ee BWANA, uyasikie maombi yangu; Uisikilize sauti ya dua zangu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Ee Mwenyezi-Mungu, uitegee sikio sala yangu; ukisikie kilio cha ombi langu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Ee Mwenyezi-Mungu, uitegee sikio sala yangu; ukisikie kilio cha ombi langu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Ee Mwenyezi-Mungu, uitegee sikio sala yangu; ukisikie kilio cha ombi langu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Ee Mwenyezi Mungu, sikia maombi yangu, sikiliza kilio changu unihurumie.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Ee bwana, sikia maombi yangu, sikiliza kilio changu unihurumie.

Tazama sura Nakili




Zaburi 86:6
5 Marejeleo ya Msalaba  

Ee Bwana, nakusihi, litege sikio lako, uyasikilize maombi ya mtumishi wako, na maombi ya watumishi wako, wanaofurahi kulicha jina lako; nakuomba sana; unifanikishe mimi, mtumishi wako, leo, ukanijalie rehema mbele ya mtu huyu. (Maana, nilikuwa mnyweshaji wa mfalme).


Bwana, uisikie sauti yangu. Masikio yako na yaisikilize Sauti ya dua zangu.


Ee BWANA, usikie haki, ukisikilize kilio changu, Utege sikio lako kwa maombi yangu, Yasiyotoka katika midomo ya hila.


Ee Mungu, uisikilize sala yangu, Wala usijifiche nikuombapo rehema.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo