Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 86:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

12 Nitakusifu Wewe, Ee Bwana, Mungu wangu, Kwa moyo wangu wote, Nitalitukuza jina lako milele.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Ee Bwana, Mungu wangu, nitakusifu kwa moyo wote; nitatangaza ukuu wa jina lako milele.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Ee Bwana, Mungu wangu, nitakusifu kwa moyo wote; nitatangaza ukuu wa jina lako milele.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Ee Bwana, Mungu wangu, nitakusifu kwa moyo wote; nitatangaza ukuu wa jina lako milele.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Ee Mwenyezi Mungu, Mungu wangu, nitakusifu kwa moyo wote; nitaliadhimisha jina lako milele.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Ee bwana wangu, nitakusifu kwa moyo wote; nitaliadhimisha jina lako milele.

Tazama sura Nakili




Zaburi 86:12
19 Marejeleo ya Msalaba  

Basi sasa, Mungu wetu, tunakushukuru na kulisifu jina lako tukufu.


Ndipo Daudi akawaambia kusanyiko lote, Haya, mhimidini BWANA, Mungu wenu. Basi kusanyiko lote wakamhimidi BWANA, Mungu wa baba zao, wakainamisha vichwa vyao, wakamsujudia BWANA, na mfalme naye.


Nitamwimbia BWANA maadamu ninaishi; Nitamshangilia Mungu wangu nikiwa hai;


Nitamhimidi BWANA kila wakati, Sifa zake zi kinywani mwangu daima.


Nitamshukuru BWANA kwa moyo wangu wote; Nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu;


Nitafurahi na kukushangilia; Nitaliimbia sifa jina lako, Wewe Uliye juu.


Na katika siku hiyo utasema, Ee BWANA, nitakushukuru wewe; Kwa kuwa ijapokuwa ulinikasirikia, Hasira yako imegeukia mbali, Nawe unanifariji moyo.


Wakawa wakiendelea njiani, wakafika mahali penye maji; yule towashi akasema, Tazama, maji haya; ni nini kinachonizuia nisibatizwe? [


ili kwa moyo mmoja na kwa kinywa kimoja mpate kumtukuza Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo.


Basi, mlapo, au mnywapo, au mtendapo neno lolote, fanyeni yote kwa utukufu wa Mungu.


maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yenu.


mkisemezana kwa zaburi na tenzi na nyimbo za rohoni, huku mkiimba na kumshangilia Bwana mioyoni mwenu;


Nawe mpende BWANA, Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo