Zaburi 84:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Ee Mungu, ngao yetu, uangalie, Umtazame uso masihi Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Ee Mungu, umwangalie kwa wema ngao yetu mfalme, umtazame huyo uliyemweka wakfu kwa mafuta. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Ee Mungu, umwangalie kwa wema ngao yetu mfalme, umtazame huyo uliyemweka wakfu kwa mafuta. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Ee Mungu, umwangalie kwa wema ngao yetu mfalme, umtazame huyo uliyemweka wakfu kwa mafuta. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Ee Mungu, uitazame ngao yetu, mtazame kwa wema mpakwa mafuta wako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Ee Mungu, uitazame ngao yetu, mtazame kwa wema mpakwa mafuta wako. Tazama sura |