Zaburi 84:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Wapitapo katika bonde la baraka, Hulifanya kuwa chemchemi, Naam, mvua ya vuli hulijaza baraka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Wapitapo katika bonde kavu la Baka, hulifanya kuwa mahali pa chemchemi, na mvua za vuli hulijaza madimbwi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Wapitapo katika bonde kavu la Baka, hulifanya kuwa mahali pa chemchemi, na mvua za vuli hulijaza madimbwi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Wapitapo katika bonde kavu la Baka, hulifanya kuwa mahali pa chemchemi, na mvua za vuli hulijaza madimbwi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Wanapopita katika Bonde la Baka, hulifanya mahali pa chemchemi, pia mvua za vuli hulijaza kwa madimbwi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Wanapopita katika Bonde la Baka, hulifanya mahali pa chemchemi, pia mvua za vuli hulijaza kwa madimbwi. Tazama sura |