Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 83:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

16 Uzijaze nyuso zao fedheha; Ili wapate kulitafuta jina lako, Ee BWANA.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Uzijaze nyuso zao fedheha, wapate kukutafuta, ee Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Uzijaze nyuso zao fedheha, wapate kukutafuta, ee Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Uzijaze nyuso zao fedheha, wapate kukutafuta, ee Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Funika nyuso zao kwa aibu ili watu walitafute jina lako, Ee Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Funika nyuso zao kwa aibu ili watu walitafute jina lako, Ee bwana.

Tazama sura Nakili




Zaburi 83:16
7 Marejeleo ya Msalaba  

Mimi nikiwa mwovu, ole wangu! Nami nikiwa mwenye haki, walakini sitainua kichwa changu; Maana nimejaa aibu Nikiyaangalia mateso yangu.


Vitisho vyampata kama maji mengi; Dhoruba humwiba usiku.


Washitaki wangu watavikwa fedheha, Na wavikwe aibu yao kama joho.


Adui zake nitawavika aibu, Bali juu yake taji lake litasitawi.


Mwelekezeeni macho, mpate kufurahi, Na nyuso zenu hazitaaibishwa kamwe.


Adui zangu wote wataaibika na kufadhaika, Watarudi nyuma, kwa ghafla wataaibika.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo