Zaburi 82:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Ee Mungu, usimame, uihukumu nchi, Maana mataifa yote ni yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Inuka ee Mungu, uuhukumu ulimwengu; maana mataifa yote ni mali yako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Inuka ee Mungu, uuhukumu ulimwengu; maana mataifa yote ni mali yako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Inuka ee Mungu, uuhukumu ulimwengu; maana mataifa yote ni mali yako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Ee Mungu, inuka uihukumu nchi, kwa kuwa mataifa yote ni urithi wako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Ee Mungu, inuka uihukumu nchi, kwa kuwa mataifa yote ni urithi wako. Tazama sura |