Zaburi 82:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Lakini mtakufa kama wanadamu, Mtaanguka kama mmoja wa wakuu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Hata hivyo, mtakufa kama watu wote; mtaanguka kama mkuu yeyote.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Hata hivyo, mtakufa kama watu wote; mtaanguka kama mkuu yeyote.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Hata hivyo, mtakufa kama watu wote; mtaanguka kama mkuu yeyote.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Lakini mtakufa kama wanadamu wa kawaida; mtaanguka kama mtawala mwingine yeyote.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Lakini mtakufa kama wanadamu wa kawaida; mtaanguka kama mtawala mwingine yeyote.” Tazama sura |
ili mti wowote, ulio karibu na maji, usijitukuze kwa sababu ya kimo chake, wala usitie kilele chake kati ya mawingu, wala mashujaa wake wasisimame katika kimo chao kirefu, naam, wote wanywao maji; maana wote wametolewa wafe, waende pande za chini za nchi, kati ya wanadamu, pamoja nao washukao shimoni.