Zaburi 82:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Hadi lini mtahukumu kwa dhuluma, Na kuzikubali nyuso za wabaya? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 “Mpaka lini mtaendelea kuhukumu bila haki na kuwapendelea watu waovu? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 “Mpaka lini mtaendelea kuhukumu bila haki na kuwapendelea watu waovu? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 “Mpaka lini mtaendelea kuhukumu bila haki na kuwapendelea watu waovu? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 “Hata lini utaendelea kuwatetea wasio haki na kuonesha upendeleo kwa waovu? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 “Hata lini utaendelea kuwatetea wasio haki na kuonyesha upendeleo kwa waovu? Tazama sura |