Zaburi 81:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Aliamuru iwe ushuhuda katika Yusufu, Alipoondoka juu ya nchi ya Misri; Maneno yake nisiyemjua niliyasikia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Aliwapa watu wa Israeli agizo hilo, alipoishambulia nchi ya Misri. Nasikia sauti nisiyoitambua ikisema: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Aliwapa watu wa Israeli agizo hilo, alipoishambulia nchi ya Misri. Nasikia sauti nisiyoitambua ikisema: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Aliwapa watu wa Israeli agizo hilo, alipoishambulia nchi ya Misri. Nasikia sauti nisiyoitambua ikisema: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Aliiweka iwe kama sheria kwa Yusufu alipotoka dhidi ya Misri, huko tulikosikia lugha ambayo hatukuielewa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Aliiweka iwe kama sheria kwa Yusufu alipotoka dhidi ya Misri, huko tulikosikia lugha ambayo hatukuielewa. Tazama sura |