Zaburi 81:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Wamchukiao BWANA wangenyenyekea mbele zake, Na maangamizi yao yangedumu milele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Wanichukiao wangenipigia magoti kwa hofu, na adhabu yao ingekuwa ya milele. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Wanichukiao wangenipigia magoti kwa hofu, na adhabu yao ingekuwa ya milele. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Wanichukiao wangenipigia magoti kwa hofu, na adhabu yao ingekuwa ya milele. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Wale wanaomchukia Mwenyezi Mungu wangejikunyata mbele zake, na adhabu yao ingedumu milele. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Wale wanaomchukia bwana wangalinyenyekea mbele zake, na adhabu yao ingedumu milele. Tazama sura |