Zaburi 80:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Ulitengeneza nafasi mbele yake, Nao ukatia mizizi sana ukaijaza nchi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Uliupalilia upate kukua, nao ukatoa mizizi na kuenea kote nchini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Uliupalilia upate kukua, nao ukatoa mizizi na kuenea kote nchini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Uliupalilia upate kukua, nao ukatoa mizizi na kuenea kote nchini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Uliandaa shamba kwa ajili yake, mizizi ikawa imara, ukajaza nchi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Uliandaa shamba kwa ajili yake, mizizi ikawa imara, ukajaza nchi. Tazama sura |