Zaburi 80:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Unatufanya sababu ya ugomvi kwa jirani zetu, Na adui zetu wanacheka wao kwa wao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Umetufanya tuwe dharau kwa jirani zetu; maadui zetu wanatudhihaki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Umetufanya tuwe dharau kwa jirani zetu; maadui zetu wanatudhihaki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Umetufanya tuwe dharau kwa jirani zetu; maadui zetu wanatudhihaki. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Tumekuwa chanzo cha ugomvi kwa majirani zetu, na adui zetu wanatudhihaki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Tumekuwa chanzo cha ugomvi kwa jirani zetu, na adui zetu wanatudhihaki. Tazama sura |