Zaburi 80:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Mkono wako na uwe juu yake Mtu aliye katika mkono wako wa kulia; Juu ya mwanadamu uliyeimarisha Kwa nafsi yako; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Mkono wako umkinge huyo uliyemfadhili; huyo uliyemteua kwa ajili yako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Mkono wako umkinge huyo uliyemfadhili; huyo uliyemteua kwa ajili yako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Mkono wako umkinge huyo uliyemfadhili; huyo uliyemteua kwa ajili yako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Mkono wako na utulie juu ya mtu aliye katika mkono wako wa kuume, mwana wa mtu uliyemlea kwa ajili yako mwenyewe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Mkono wako na utulie juu ya mtu aliyeko mkono wako wa kuume, mwana wa mtu uliyemlea kwa ajili yako mwenyewe. Tazama sura |