Zaburi 80:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Umechomwa moto; umekatwa; Kwa lawama ya uso wako wanapotea. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Watu walioukata na kuuteketeza, uwatazame kwa ukali, waangamie. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Watu walioukata na kuuteketeza, uwatazame kwa ukali, waangamie. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Watu walioukata na kuuteketeza, uwatazame kwa ukali, waangamie. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Mzabibu wako umekatwa, umechomwa moto, unapowakemea, watu wako huangamia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Mzabibu wako umekatwa, umechomwa moto, unapowakemea, watu wako huangamia. Tazama sura |