Zaburi 80:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Milima ilifunikwa kwa kivuli chake, Matawi yake ni kama mierezi ya Mungu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Uliifunika milima kwa kivuli chake, na matawi yake yakawa kama mierezi mikubwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Uliifunika milima kwa kivuli chake, na matawi yake yakawa kama mierezi mikubwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Uliifunika milima kwa kivuli chake, na matawi yake yakawa kama mierezi mikubwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Milima ilifunikwa kwa kivuli chake, matawi yake yakafunika mierezi mikubwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Milima ilifunikwa kwa kivuli chake, matawi yake yakafunika mierezi mikubwa. Tazama sura |