Zaburi 79:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Usikumbuke juu yetu maovu ya baba zetu, Rehema zako zije kutulaki haraka, Kwa maana tumeteseka sana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Usituadhibu kwa sababu ya makosa ya wazee wetu. Huruma yako itujie haraka, maana tumekandamizwa mno! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Usituadhibu kwa sababu ya makosa ya wazee wetu. Huruma yako itujie haraka, maana tumekandamizwa mno! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Usituadhibu kwa sababu ya makosa ya wazee wetu. Huruma yako itujie haraka, maana tumekandamizwa mno! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Usituhesabie dhambi za baba zetu, huruma yako na itujie hima, kwa maana tu wahitaji mno. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Usituhesabie dhambi za baba zetu, huruma yako na itujie hima, kwa maana tu wahitaji mno. Tazama sura |