Zaburi 79:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Uwalipe jirani zetu mara saba vifuani mwao Laumu zao walizokulaumu, Ee Bwana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Mataifa hayo yaliyokudharau, ee Bwana, yalipizwe mara saba! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Mataifa hayo yaliyokudharau, ee Bwana, yalipizwe mara saba! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Mataifa hayo yaliyokudharau, ee Bwana, yalipizwe mara saba! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Walipize majirani zetu mara saba aibu walizovurumisha kwako, Ee Bwana. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Walipize jirani zetu mara saba vifuani mwao aibu walizovurumisha juu yako, Ee bwana. Tazama sura |