Zaburi 78:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Wale Waefraimu, wenye silaha, wapiga upinde, Walirudi nyuma siku ya vita. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Watu wa Efraimu, pinde na mishale mkononi, walirudi nyuma, wakakimbia siku ile ya vita. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Watu wa Efraimu, pinde na mishale mkononi, walirudi nyuma, wakakimbia siku ile ya vita. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Watu wa Efraimu, pinde na mishale mkononi, walirudi nyuma, wakakimbia siku ile ya vita. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Watu wa Efraimu, ingawa walijifunga pinde, walikimbia siku ya vita. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Watu wa Efraimu, ingawa walijifunga pinde, walikimbia siku ya vita. Tazama sura |