Zaburi 78:72 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC72 Akawahudumia kwa ukamilifu wa moyo wake, Na kuwaongoza kwa busara ya mikono yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema72 Daudi akawafunza kwa moyo wake wote, akawaongoza kwa uhodari mkubwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND72 Daudi akawafunza kwa moyo wake wote, akawaongoza kwa uhodari mkubwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza72 Daudi akawafunza kwa moyo wake wote, akawaongoza kwa uhodari mkubwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu72 Naye Daudi aliwachunga kwa uadilifu wa moyo, kwa mikono ya ustadi aliwaongoza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu72 Naye Daudi aliwachunga kwa uadilifu wa moyo, kwa mikono ya ustadi aliwaongoza. Tazama sura |