Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 78:65 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

65 Ndipo Bwana alipoamka kama aliyelala usingizi, Kama shujaa apigaye kelele kwa sababu ya mvinyo;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

65 Kisha Bwana aliamka kama kutoka usingizini, kama shujaa aliyechangamshwa na divai.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

65 Kisha Bwana aliamka kama kutoka usingizini, kama shujaa aliyechangamshwa na divai.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

65 Kisha Bwana aliamka kama kutoka usingizini, kama shujaa aliyechangamshwa na divai.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

65 Ndipo Bwana alipoamka kama kuamka usingizini, kama shujaa anavyoamka kutoka bumbuazi la mvinyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

65 Ndipo Bwana alipoamka kama vile kuamka usingizini, kama vile mtu aamkavyo kutoka kwenye bumbuazi la mvinyo.

Tazama sura Nakili




Zaburi 78:65
7 Marejeleo ya Msalaba  

Amka, Bwana, mbona umelala? Ondoka, usitutupe milele.


BWANA uondoke kwa hasira yako; Ujiinue Juu ya ujeuri wa watesi wangu; Uamke kwa ajili yangu; Umeamuru hukumu.


Ee Bwana, wamekuwa kama ndoto wakati wa kuamka, Uondokapo utaidharau sanamu yao.


Amka, amka, jivike nguvu, Ee mkono wa Bwana; Amka kama katika siku zile za kale, Katika vizazi vile vya zamani.


BWANA, Mungu wako, yuko katikati yako shujaa awezaye kuokoa; Atakushangilia kwa furaha kuu, Atakutuliza katika upendo wake, Atakufurahia kwa kuimba.


Usimrudishe kwa bwana wake mtumwa aliyejiponya kutoka kwa bwana wake kuja kwako;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo