Zaburi 78:56 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC56 Lakini walimjaribu Mungu Aliye Juu, wakamwasi, Wala hawakuzishika shuhuda zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema56 Hata hivyo walimjaribu na kumwasi Mungu Mkuu; wala hawakuzingatia masharti yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND56 Hata hivyo walimjaribu na kumwasi Mungu Mkuu; wala hawakuzingatia masharti yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza56 Hata hivyo walimjaribu na kumwasi Mungu Mkuu; wala hawakuzingatia masharti yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu56 Lakini wao walimjaribu Mungu, na kuasi dhidi ya Yeye Aliye Juu Sana, wala hawakuzishika sheria zake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu56 Lakini wao walimjaribu Mungu, na kuasi dhidi ya Yeye Aliye Juu Sana, wala hawakuzishika sheria zake. Tazama sura |