Zaburi 78:54 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC54 Akawapeleka hadi mpaka wake mtakatifu, Mlima alioununua kwa mkono wake wa kulia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema54 Aliwaleta katika nchi yake takatifu, katika mlima aliouteka kwa nguvu yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND54 Aliwaleta katika nchi yake takatifu, katika mlima aliouteka kwa nguvu yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza54 Aliwaleta katika nchi yake takatifu, katika mlima aliouteka kwa nguvu yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu54 Hivyo akawaleta hadi kwenye mpaka wa nchi yake takatifu, hadi nchi ya vilima ambayo mkono wake wa kuume ulikuwa umeitwaa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu54 Hivyo akawaleta hadi kwenye mpaka wa nchi yake takatifu, hadi nchi ya vilima ambayo mkono wake wa kuume ulikuwa umeitwaa. Tazama sura |