Zaburi 78:44 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC44 Aligeuza mito yao kuwa damu, Ili wasipate kunywa maji kutoka vijito vyao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema44 Aliigeuza ile mito kuwa damu, Wamisri wasipate maji ya kunywa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND44 Aliigeuza ile mito kuwa damu, Wamisri wasipate maji ya kunywa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza44 Aliigeuza ile mito kuwa damu, Wamisri wasipate maji ya kunywa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu44 Aligeuza mito yao kuwa damu, hawakuweza kunywa maji kutoka vijito vyao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu44 Aligeuza mito yao kuwa damu, hawakuweza kunywa maji kutoka vijito vyao. Tazama sura |