Zaburi 78:43 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC43 Alivyoziweka ishara zake katika Misri, Na miujiza yake katika uwanda wa Soani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema43 alipotenda maajabu nchini Misri, na miujiza kondeni Soani! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND43 alipotenda maajabu nchini Misri, na miujiza kondeni Soani! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza43 alipotenda maajabu nchini Misri, na miujiza kondeni Soani! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu43 siku aliyoonesha ishara zake za ajabu huko Misri, maajabu yake huko Soani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu43 siku aliyoonyesha ishara zake za ajabu huko Misri, maajabu yake huko Soani. Tazama sura |