Zaburi 78:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Hayo hatutawaficha wana wao, Huku tukiwaambia kizazi kingine, Sifa za BWANA, na nguvu zake, Na mambo yake ya ajabu aliyoyafanya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Hatutawaficha watoto wetu; ila tutakisimulia kizazi kijacho matendo matukufu ya Mwenyezi-Mungu na uwezo wake; tutawaambia maajabu yake aliyotenda. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Hatutawaficha watoto wetu; ila tutakisimulia kizazi kijacho matendo matukufu ya Mwenyezi-Mungu na uwezo wake; tutawaambia maajabu yake aliyotenda. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Hatutawaficha watoto wetu; ila tutakisimulia kizazi kijacho matendo matukufu ya Mwenyezi-Mungu na uwezo wake; tutawaambia maajabu yake aliyotenda. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Hatutayaficha kwa watoto wao; tutakiambia kizazi kijacho matendo yastahiliyo sifa ya Mwenyezi Mungu, uweza wake, na maajabu aliyoyafanya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Hatutayaficha kwa watoto wao; tutakiambia kizazi kijacho matendo yastahiliyo sifa ya bwana, uweza wake, na maajabu aliyoyafanya. Tazama sura |